Haji Manara hana baya, yeye michongo yote anaipata Instagram

chotera

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2016
Posts
6,560
Reaction score
15,864
Huyu mwamba hanaga baya.

Michongo yote anapata insta kama kawaida akipost kitu anaangaliaangalia waliocoment halafu anazama DM.

Gwiji wa kariakoo bingwa kabisa afrika mashariki na kati anaitwa zee la kudaka michongo insta.

Hawa ndio wazee wa kutambaa na fursa maana huo unaelezwa ni mchongo watatu kudaka insta bila kikwazo.
 
Wewe ni mmoja kati ya waliofuatwa DM, ni admin wa account yake, au rafiki wa waliofuatwa dm?
 
Manara ..Hana maajabu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wadada siku hizi sio kwa kupenda kiki, sidhani kama hapa kuna mapenzi nawaza tu. Ukiwa na manara ni full kuongelewa mwezi mzima naona ndicho wanachofata
Publicity ndo wanataka Hawa wadada na followers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…