Haji Manara hana mipaka katika kazi yake

anapunguza makali ya uzeruzeru, mi ni shabiki kindakindaki wa Yanga na naona poa tu!
 
Soka la kibongo ni sawasawa na kibisa cha Bongo movie tu, mimi sina mpango nalo.
 
Mi nadhani umeovereact tu....
Ukimchukulia kama mtu wa porojo nyingi hata hatakuumiza kichwa...
Kumbuka ni mtoto wa mjini yule:ni mswahili..tena haswa...
Utoto wa mjini ndio afanye mambo yakipuuz.
Akifanyiwa anaketa huruma ya uzeruzeru kwamba anabaguliwa
 
Mkuu hilo ni funzo kama wewe una moyo wa kike usiangalie dabi , kama jamaa katokwa mikojo nasubiri siku mtu atakapo tokwa na uharo, nakukumbusha kwa kuwa ni account yake baasi hana mipaka labda avunje sheria za jamhuri
mkojo uko wapi jamaa yangu???
kuna wakati mchezaji atakalia udongo mkurupuke na kusema ni mavi,sababu mnapenda ushabiki wa kijinga.
 
Toka aliposhindwa kukanusha zile tuhuma za kigogo kule twitter kama analiwa,hata aniumizi kichwa
 
mkojo uko wapi jamaa yangu???
kuna wakati mchezaji atakalia udongo mkurupuke na kusema ni mavi,sababu mnapenda ushabiki wa kijinga.
Huo wakati wa udongo kuonekana mavi ukifika njoo ufungue uzi hapa mkuu , vinginevyo acha ramli chonganishi
 
Wewe ni UTO unataka kumdanganya nani Sasa bhana mbona unalia Lia tulia dawa iingie Mala ooh simba Queen hahaha deportivo mbona mnateseka
 
Zeruzeru hana akili kabisa.

Akibanwa sana hukimbilia kusema anabaguliwa.

Dawa yake ni Jerry Muro. Kuna siku aliingia cha kike kwa kigogo2014

Hadi aibu!
Unazungumzia yule j muro bwabwa!??/au !?kama ni yule wa arumeri alishatulizwa na de LA boss kwa kifupi tu boss yule sio rzki kwa mujibu wa haji!!!!any way mbao ya matangazo inasoma 4-1 hapo ndo mmechanganyikiwa kima nyie
 
Unazungumzia yule j muro bwabwa!??/au !?kama ni yule wa arumeri alishatulizwa na de LA boss kwa kifupi tu boss yule sio rzki kwa mujibu wa haji!!!!any way mbao ya matangazo inasoma 4-1 hapo ndo mmechanganyikiwa kima nyie
Ngedere nyie. Punga ni huyo mz pori wenu.
 
Hata sie mnatukera na mlitukera sana mlipotufunga sio instagram tuu kila mtandao wa kijamii ulijaa njano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…