Haji Manara, hapa ni lugha gongana. Umenifurahisha sana

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,006
Just weight pls
FB_IMG_15639485641211996.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] c angeandika kiswahili tu
 
Kweli usilolijua ni usiku wa giza. Haji ashindwe kujua tofauti ya weight na wait?Wajinga wengi sana.
 
Anaweza kuwa alijusudia kuandika wait lakini simu ika autocorrect na kuweka weight na akapost bila kuhakiki alicho andika. Usiwaite watu wajinga
 
Kama wewe ulivyoandika "alijusudia"huku ukimaanisha alikusudia.Jiwe lilitupwa gizani.
Nimeandika wajinga wengi sijaita watu wajinga.
 
Back
Top Bottom