Anaweza kuwa alijusudia kuandika wait lakini simu ika autocorrect na kuweka weight na akapost bila kuhakiki alicho andika. Usiwaite watu wajingaKweli usilolijua ni usiku wa giza. Haji ashindwe kujua tofauti ya weight na wait?Wajinga wengi sana.
Entapretenyuaaa!!Kilaza kwenye ubora wake..
Kama wewe ulivyoandika "alijusudia"huku ukimaanisha alikusudia.Jiwe lilitupwa gizani.Anaweza kuwa alijusudia kuandika wait lakini simu ika autocorrect na kuweka weight na akapost bila kuhakiki alicho andika. Usiwaite watu wajinga
Haji ni mtu wa masihara sana, hapo kafanya kusudi amin nakuambia
Just weight plsView attachment 1161147