Haji Manara hiki kiburi cha kumjibu RC Kagera anakipata wapi?

wakimataifa.

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
1,625
Reaction score
558
Hayo majibu ya haji kwa Mkuu wa mkoa wa kagera haji manara anakipata wapi?
Angenyamaza angikosa nini
Hao mabosi wake mbona hawajasema kitu
Inaonyesha wanamheshimu RC
 
Hayo majibu ya haji kwa Mkuu wa mkoa wa kagera haji manara anakipata wapi?
Angenyamaza angikosa nini
Hao mabosi wake mbona hawajasema kitu
Inaonyesha wanamheshimu RCView attachment 1217166
jambo hilo-hilo au linalofanana na hilo lingefanywa na Bashite huyu Manara angelifurahia mnoo.
 
Wataalamu wanajua tatizo ni nini kwa ndugu yetu......
 
Ila haji kaongea facts, unamzuiaje MTU kushangilia timu Fulani, tunazungumzia freedom kwenye katiba pamoja na Arusha declaration, human freedom haifuatwi hivyo viongozi wanavunja makusudically
 
Hayo majibu ya haji kwa Mkuu wa mkoa wa kagera haji manara anakipata wapi?
Angenyamaza angikosa nini
Hao mabosi wake mbona hawajasema kitu
Inaonyesha wanamheshimu RCView attachment 1217166
Isije ikawa ni kick ana mpango wa kuingia kwenye Siasa! Kwani yeye jimbo lake ni wapi, yaani kwao anakotoka? Isije ikawa anatoka Mkoa wa Kagera
 
Lakini ameongea ukweli mtupu Raha ya mpira ni upinzani sasa unakatazaje watu kushangikia timu waipendayo
 
Mbona kama aliongea kishabiki tu, nilijua hakunaanisha kimamlaka!
 
Ndani ya Jeshi kuna Simba kibao ambao hawakuridhishwa na uamuzi wa yule Afande

Simba Ina ushawishi kuliko Jeshi japo Jeshi lina nguvu kuliko Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…