Haji Manara hiki Kiburi na huu Ujeuri wako unautoa wapi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Yaani kabla ya Press Conference kuanza unawaambiwa Waandishi wa Habari kuwa Wewe huna Bosi katika hiyo Idara na kwamba huko ulishavuka.

Hivi ungevuka huko kama unavyojinadi ungekuwa kutwa unaomba Fedha kwa Boss wa Timu huku ukiwapiga Majungu akina Kamwe na Privaldinho?

Hivi kwanini hubadiliki Wewe, hukui tu na huachi Ushamba?
 
We popoma ikiuma, chomoa unuse
 
Wanaomshabikia Manara wengi ni wale wabinafsi...wenye jazba...na wana umuch know mwingi...wanamshabikia wanae fanana nao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…