GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tunajua kuwa unatumia mwanya huu kutaka kuonekana una Uchungu na Yanga SC na unaipenda (wakati si kweli kwani Wewe ni mwana Simba SC lia lia) ili Maamuzi Makali yamhusuyo Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe yakitolewa Wiki ijayo au baadae basi Uongozi wa Yanga SC ukurudishe Wewe katika Usemaji na siyo Jerry Muro ambaye tayari kuna Asilimi fulani za Yeye kuja kuwa Msemaji wa Yanga SC.
Haji Manara malizana Kwanza na Mkeo ambaye hivi karibuni Alikupiga Vibao na hakulala Kwako Wiki na Unywe Dawa Ok?
Haji Manara malizana Kwanza na Mkeo ambaye hivi karibuni Alikupiga Vibao na hakulala Kwako Wiki na Unywe Dawa Ok?