Haji Manara, kaa ukijua, hukumu yako ya kuitukana Simba bado haijasomwa, kazi unayo

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Hii hukumu aliyopewa Leo Manara ni trela tu, ngoma yenyewe ya kuitukana na kuidhalilisha Simba bado hukumu yake haijasomwa.

Hii unayopambana nayo na kutetewa na wajinga wajinga ni ya kumtukana Rais wa TFF, uamuzi wako katika shauri la kuisema vibaya ujue bado sana kaka, mwaka mbaya sana huu kwako.

Hii ya Karia hata ukisamehewa kuna ngoma nzito wewe na Barbra bado haijasomwa, jipangeni.
 
Anakwambia mtu naelea wazazi na familia anafanyiwa roho mbaya.
 
Ile post yake aliyosema simba wanatumia dawa na kuwapa wageni vinywaji vyenye dawa sio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…