Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Simba walikua hawana utamaduni wa kuingia uwanjani 'top' miaka ya nyuma tofauti na mechi za derby.Nakuhakikishia Haji Manara, kwa vile umeitukana sana Simba na kuiona haikukusaidia lolote katika maisha yako, basi subiri gemu ya Burundi na vs Cameroon ambayo umepewa ubalozi wa kuhamasisha ili watu wajae uwanjani, wewe umekuwa ukitamba kuwa kazi ya kuhamasisha hutumii nguvu, unapiga promo kidogo tu mtu zinamiminika dimbani zenyewe, sasa Burundi wamekuomba ujaze uwanja keshokutwa.
Ukifikisha watazamaji 5000 nitaenda kuomba kusafisha bure vyoo vya uwanja wa Taifa, kudadadeki
Mjinga Tena[emoji16][emoji16][emoji16]sureSimba walikua hawana utamaduni wa kuingia uwanjani 'top' miaka ya nyuma tofauti na mechi za derby.
Ujio wa Haji manara simba ukaja kubadili hio tabia.
Haji ndio muasisi wa 'Kwa mkapa hatoki mtu',WIDA na nyinginezo.
Linapokuja suala la promotion za mechi Haji Manara huwa ana dunia yake pekee yake..
Hii mechi ni ngumu watu kujaa kutokana na timu zenyewe kukosa ushabiki nchini..
Huyu mjinga toka amekwenda utopoloni amezeeka kinoma anatumia nguvu kubwa sana kuwaaminisha watopolo kuwa ni mmoja wao, mishipa ya shingo imemtoka kama mizizi ya miwaNakuhakikishia Haji Manara, kwa vile umeitukana sana Simba na kuiona haikukusaidia lolote katika maisha yako, basi subiri gemu ya Burundi na vs Cameroon ambayo umepewa ubalozi wa kuhamasisha ili watu wajae uwanjani, wewe umekuwa ukitamba kuwa kazi ya kuhamasisha hutumii nguvu, unapiga promo kidogo tu mtu zinamiminika dimbani zenyewe, sasa Burundi wamekuomba ujaze uwanja keshokutwa.
Ukifikisha watazamaji 5000 nitaenda kuomba kusafisha bure vyoo vya uwanja wa Taifa, kudadadeki
Hayo yameletwa na uwekezaji wala siyo Manara.Mashabiki ukishawaletea wachezaji wenye ubora watakuja tu uwanjani na wala hawahitaji domokunuka la Manara et ndo waende uwanjani.Simba walikua hawana utamaduni wa kuingia uwanjani 'top' miaka ya nyuma tofauti na mechi za derby.
Ujio wa Haji manara simba ukaja kubadili hio tabia.
Haji ndio muasisi wa 'Kwa mkapa hatoki mtu',WIDA na nyinginezo.
Linapokuja suala la promotion za mechi Haji Manara huwa ana dunia yake pekee yake..
Hii mechi ni ngumu watu kujaa kutokana na timu zenyewe kukosa ushabiki nchini..
Simba ni kubwa kuliko Manara,,Simba walikua hawana utamaduni wa kuingia uwanjani 'top' miaka ya nyuma tofauti na mechi za derby.
Ujio wa Haji manara simba ukaja kubadili hio tabia.
Haji ndio muasisi wa 'Kwa mkapa hatoki mtu',WIDA na nyinginezo.
Linapokuja suala la promotion za mechi Haji Manara huwa ana dunia yake pekee yake..
Hii mechi ni ngumu watu kujaa kutokana na timu zenyewe kukosa ushabiki nchini..
Nimeona mechi nyingi za Simba za klabu bingwa kabla ya haji kua msemaji wa simba.Simba ni kubwa kuliko Manara,,
Kama kwl Manara anajaza uwanja ahamie RTC KIGOMA kama atapata hata watu 2000 uwanjani.
Amekuja Simba amekuta Simba ipo na ameondoka ameiacha.
Aache kutembelea nyota ya Simba.
Ni kweli watu wanaweza kwenda kuiangalia Cameroon na sio Burundi wala sio hamasa ya Haji.Cameroon ni maarufu watu wanawezaenda
Viwanja vyenye hadhi/ vigezo vya mashindano husika huenda hawanaHivi kwann Burundi wameamua kuleta mechi huku na si kwao?
uliziona lini mkuu? simba tangu 2012-2017 hakucheza champions league na huyo msukule kakaa simba tangu 2013 hakuna kombe hadi Mo alipoingia 2017....simba 74 anafika nusu fainali 1993 fainali na miak hiyo zamalek , ismailia, ahly wanakufa dsm miaka hiyow atu walikuwa hawaendi uwanjani, he jamaniNimeona mechi nyingi za Simba za klabu bingwa kabla ya haji kua msemaji wa simba.
Kiukweli hamasa ilikua ndogo ukifananisha na hii miaka ya karibuni..
Haji Manara ameleta kitu tofauti katika mpira wetu na hata kuna kundi kubwa la watu wameipenda simba kwa sababu ya mdomo wa Haji..
Simba ambayo ilikua kabla ya Haji sio kwamba ilikua inakosa matokeo,La hasha ilikua inapata matoleo vizuri ila muamko wa mashabiki nchini kuingia uwanjani ulikua mdogo sana.
Shabiki wa simba anaweza kubeza uwezo wa Haji akiwa ,public' ila akikaa mwenyewe kuna feelings fulani zinamjia na kuishia ku 'appreciate' moyoni.
Ndiye rais mtarajiwa wa utopolo msifanye kosa kutomchagua atawapaisha sanaJapo mnamponda hadharani ila moyoni mnamkubali sana tu. Manara kawapaisha sana Simba
Wamenfata manara mkuu jamaa mkubwa sana afrikaHivi kwann Burundi wameamua kuleta mechi huku na si kwao?
Ndiye rais mtarajiwa wa makolo msifanye kosa kutomchagua atawapaisha sana