GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Manara kazinguaKama ulikuwa unataka Kumsema Rais wa TFF Wallace Karia kutokana na Chuki zako Binafsi basi ungetafuta right platform ya Kumsema lakini siyo wakati wa Uzinduzi wa Mfuko wako wa Haji Manara Foundation unaacha kutuambia Malengo yako na unatumia muda mwingi Kumzungumzia Karia na TFF.
Kwa kifupi Haji Manara huna Akili period
Hana Akili Dozi za 1981 WHO zinamtesa sana.M
Manara kazingua
CC: p.e.kapinguKama ulikuwa unataka Kumsema Rais wa TFF Wallace Karia kutokana na Chuki zako Binafsi basi ungetafuta right platform ya Kumsema lakini siyo wakati wa Uzinduzi wa Mfuko wako wa Haji Manara Foundation unaacha kutuambia Malengo yako na unatumia muda mwingi Kumzungumzia Karia na TFF.