Wajinga acha wapambane na ujinga wao...Habari za uhakika ni kuwa Haji Manara amekubali kurejea Simba, Baada ya Rais wa Club hiyo Mo Dewji kumuomba msamaha sana ili arejee
Haji Manara ilikuwa aonekane Leo kwenye uzinduzi wa jersey za Simba, lakini kutoka na malipo yake kutoka Kwa Mo Dewji kucheleweshwa, Sasa ni dhahiri tutamwona Simba day
Kumbuka Haji Manara aiitoka Simba 2021 akilalamika kuwa Mo Dewji na Babra walimhujumu na kumfukuza kama mbwa
Pia akilalamika kuwa alikuwa akilipwa mshahara kidogo kiasi cha laki 7 tu.
Pia Manara alitoa laana kuwa Simba haitatwaa ubingwa wowote zaidi ya miaka 10.
Na kweli Toka Haji Manara atoke Simba haijawahi kutwaa hata kombe la Mapinduzi.
Uongozi wa Simba ukiongozwa na Mo Dewji wameamua kumrejesha Haji Manara, na hiyo atakuwa akilipwa million 70 Kwa mwezi na marupurupu mengine
Simba Sasa wanasafisha njia Yao
Diwani mtarajiwa wa Kariakoo, we piga pesa za mambumbumbu, wao wanajua ukienda pale umbumbumbuni watatwaa ubingwa
Pia a
We ndo mbumbumbu aliowasema Rage.Yanga hizi mbinu za kipumbavu ndizo zinawa fanya mfanye mambo ya kijinga kama kuchangia shughuli za siasa hadi kuweka rehani usalama wa club kuazibiwa na FIFA.
ACHENI UTOTO
Mkuu, mshahara M70 amesema mleta mada. Fursa nzuri hiyo kwake, usiibane hahaha.Huyo mpuuzi manara akae hukohuko utopolo ndo panamfaa
Kama mimi. Kwani umeambiwa nisipomtaka ndo hatokuwa? Mbona wewe huitaki ccm na inakuongoza?Humtaki wewe kama nani?
Hivi huzijui akili mbili za utopolo mpaka leo? Mtoa mada ni utopolo anafikiri simba inaakili za kipuuzi kama wao walivompokea haji na morisoni ambo walikuwa hawalali bila kuwatukana utopolosimtaki arudi, ila kama ni kweli atalipwa M70 kwa mwezi sawa tu, asibaniwe fursa. Hizo pesa kama zipo zimezagaa hivyo tugawaneni wote tu fursa ikija, tusibaniane.
Nenda nae taratibu mkuu, kama ushajua akili za utopolo ni sawa na gari bovu mbio za nini? Halafu hii nchi kuna mambo huwa yanafanyika kwa akili za kisiasa. Likitokea wala hushangai.Hivi huzijui akili mbili za utopolo mpaka leo? Mtoa mada ni utopolo anafikiri simba inaakili za kipuuzi kama wao walivompokea haji na morisoni ambo walikuwa hawalali bila kuwatukana utopolo