Nikisema hujui Kufikiri ( Juha ) pamoja na huyo aliyekusindikiza kwa Rais wa TFF Wallace Karia Jana unakasirika / mnakasirika.
Nakufundisha kwakuwa huna Akili na pia ndiyo tatizo la wana Yanga SC wengi kuwa badala ya kwenda kwa Rais wa TFF Wallace Karia Kumuomba Radhi kwa Upopoma wako ulitakiwa Uiombe Radhi upesi Sekretarieti ya TFF ambayo ndiyo imekupeleka Kamati ya Maadili.
Tena ulivyokurupuka kwenda kwa Rais wa TFF Wallace Karia ndiyo Umeharibu kabisa hivyo anza kujiandaa Kisaikolojia kupokea Adhabu Kali ambayo itakufunza zaidi ili uache Uswahili na Upuuzi wako.