Haji Manara: Makolo hawatotufunga hadi 2030, Samia atoke Madarakani

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mashaki wa Mnyama, Simba mmemsikia msemaji wenu wa zamani?, Haji Manara akiwa Wasafi Fm amesema Makolo hawatotufunga hadi 2030, Samia atoke Madarakani

"Naomba Watu waelewe Ule wimbo wa 'Yanga inafungwaje' haujaimbwa kwaajili ya Tabora au Timu nyengine ule umeimbwa kwaajili ya 'Makolo' kwahiyo Wananchi Tambeni nao ule wimbo"

"Na niwaambie tu kuwa 'Mokolo' hawatotufunga Yanga hadi mwaka 2030 Rais Samia atakapotoka madarakani"
 
Hongereni mno. Malengo mazuri ya miaka mi5 ijayo. Lipieni na mabango in advance incase ndoto ikatimia.
Simba ina priorities zake.

images (95).jpeg
 
Mashaki wa Mnyama, Simba mmemsikia msemaji wenu wa zamani?, Haji Manara akiwa Wasafi Fm amesema Makolo hawatotufunga hadi 2030, Samia atoke Madarakani

"Naomba Watu waelewe Ule wimbo wa 'Yanga inafungwaje' haujaimbwa kwaajili ya Tabora au Timu nyengine ule umeimbwa kwaajili ya 'Makolo' kwahiyo Wananchi Tambeni nao ule wimbo"

"Na niwaambie tu kuwa 'Mokolo' hawatotufunga Yanga hadi mwaka 2030 Rais Samia atakapotoka madarakani"
Sawa kibwengo. Umeona umesahaulika ndio ukaibuka na huu uharo
 
Mashaki wa Mnyama, Simba mmemsikia msemaji wenu wa zamani?, Haji Manara akiwa Wasafi Fm amesema Makolo hawatotufunga hadi 2030, Samia atoke Madarakani

"Naomba Watu waelewe Ule wimbo wa 'Yanga inafungwaje' haujaimbwa kwaajili ya Tabora au Timu nyengine ule umeimbwa kwaajili ya 'Makolo' kwahiyo Wananchi Tambeni nao ule wimbo"

"Na niwaambie tu kuwa 'Mokolo' hawatotufunga Yanga hadi mwaka 2030 Rais Samia atakapotoka madarakani"
Kifupi Simba ni timu ya soka sio kikundi cha mazingaombwe.

Tutashindana kwenye soka hayo mazingaombwe muendelee kubaki nayo, sisi tuna malengo na soka la Afrika.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Reds au wanasimba sc club wote tuna akili-kubwa.Huwa hatuna muda wa kubishana na vichaa , sisi ni kazi kazi tu. Vitendo vyetu reds vinaongea.
 
Ngoja waje waseme mbona Simba Queens wamewafunga Yanga Princess!!

Halafu huyo Haji Manara si ni mwanachama mwenzao aliyekimbia njaa, na kwenda kuajiriwa na GSM!! Mbona anawageuka tena!
 
Yule jamaa anatumia kisigino kufikiria hivyo wewe uliyemsikiliza na kuyaamini maneno yake una kisonono kilichopanda kichwani.

Chunga sana!!
 
Anaforce attention sasa hivi!,ashapoteza mvuto hata kwa wana Utopwinyo wenyewe.
 
Katika watu kwa sasa wanapuuzwa na wanaSimba wale waliokuwa kwny nafasi za kuisemea Simba basi ni Manyara...hakuna mtu anaehangaika kumjibu...hakunaaa sio kina kisugu hao wa level yake wala huko juu..yani wanamchukulia kama TAKATAKA....
Watu wanasonga mbele maneno yake hayabadili nafasi ya Daktari...
Pumbavu zake...
 
Keyword: Mpaka Samia atakapotoka madarakani 2030. Hii imekaa kimkakati sana, ukiwa mbumbumbu unaweza kuhisi anazungumzia soka. Sidhani kama tuna haja ya kufanya uchaguzi mwaka huu, tumuache tu Mama aendelee kuwatumikia Watanzania.
 
Huyu anajikomba kwa Samia kiaina kwa kumwaminisha kwamba atashinda uchaguzi ujao na kuongoza hadi 2030. Ni sawa na waliokuwa wanamwambia JPM atake asitake ataongoza hadi kifo, na kweli JPM akafia kwenye uongozi wake.
 
Mashaki wa Mnyama, Simba mmemsikia msemaji wenu wa zamani?, Haji Manara akiwa Wasafi Fm amesema Makolo hawatotufunga hadi 2030, Samia atoke Madarakani

"Naomba Watu waelewe Ule wimbo wa 'Yanga inafungwaje' haujaimbwa kwaajili ya Tabora au Timu nyengine ule umeimbwa kwaajili ya 'Makolo' kwahiyo Wananchi Tambeni nao ule wimbo"

"Na niwaambie tu kuwa 'Mokolo' hawatotufunga Yanga hadi mwaka 2030 Rais Samia atakapotoka madarakani"
Nashauri Manara ahojiwe kwa uchochezi kwa sababu sisi tunataka Mama Samia atawale milele.
 
Keyword: Mpaka Samia atakapotoka madarakani 2030. Hii imekaa kimkakati sana, ukiwa mbumbumbu unaweza kuhisi anazungumzia soka. Sidhani kama tuna haja ya kufanya uchaguzi mwaka huu, tumuache tu Mama aendelee kuwatumikia Watanzania.
Hee, mkuu kama ccm imempitisha Samia bila upinzani unategemea raisi awe tofauti na Samia? Suala la raisi mbadala wa Samia litazame kupitia ccm sio upinzani.
 
Back
Top Bottom