Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Sawa kibwengo. Umeona umesahaulika ndio ukaibuka na huu uharoMashaki wa Mnyama, Simba mmemsikia msemaji wenu wa zamani?, Haji Manara akiwa Wasafi Fm amesema Makolo hawatotufunga hadi 2030, Samia atoke Madarakani
"Naomba Watu waelewe Ule wimbo wa 'Yanga inafungwaje' haujaimbwa kwaajili ya Tabora au Timu nyengine ule umeimbwa kwaajili ya 'Makolo' kwahiyo Wananchi Tambeni nao ule wimbo"
"Na niwaambie tu kuwa 'Mokolo' hawatotufunga Yanga hadi mwaka 2030 Rais Samia atakapotoka madarakani"
Kifupi Simba ni timu ya soka sio kikundi cha mazingaombwe.Mashaki wa Mnyama, Simba mmemsikia msemaji wenu wa zamani?, Haji Manara akiwa Wasafi Fm amesema Makolo hawatotufunga hadi 2030, Samia atoke Madarakani
"Naomba Watu waelewe Ule wimbo wa 'Yanga inafungwaje' haujaimbwa kwaajili ya Tabora au Timu nyengine ule umeimbwa kwaajili ya 'Makolo' kwahiyo Wananchi Tambeni nao ule wimbo"
"Na niwaambie tu kuwa 'Mokolo' hawatotufunga Yanga hadi mwaka 2030 Rais Samia atakapotoka madarakani"
Mpaka umeita mtu kichaa inamaana umeshashindanaReds au wanasimba sc club wote tuna akili-kubwa.Huwa hatuna muda wa kubishana na vichaa , sisi ni kazi kazi tu.
Kuwaita wale wadada wa Buza eti ni princess ni matumizi mabaya ya kingreza.Ngoja waje waseme mbona Simba Queens wameafunga Yanga Princess!! Halafu huyo Haji Manara si ni mwanachama mwenzao aliyekimbia njaa, na kwenda kuajiriwa na GSM!! Mbona anawageuka tena!
Da wale ni mabush girls....hahahahKuwaita wale wadada wa Buza eti ni princess ni matumizi mabaya ya kingreza.
Nashauri Manara ahojiwe kwa uchochezi kwa sababu sisi tunataka Mama Samia atawale milele.Mashaki wa Mnyama, Simba mmemsikia msemaji wenu wa zamani?, Haji Manara akiwa Wasafi Fm amesema Makolo hawatotufunga hadi 2030, Samia atoke Madarakani
"Naomba Watu waelewe Ule wimbo wa 'Yanga inafungwaje' haujaimbwa kwaajili ya Tabora au Timu nyengine ule umeimbwa kwaajili ya 'Makolo' kwahiyo Wananchi Tambeni nao ule wimbo"
"Na niwaambie tu kuwa 'Mokolo' hawatotufunga Yanga hadi mwaka 2030 Rais Samia atakapotoka madarakani"
Hee, mkuu kama ccm imempitisha Samia bila upinzani unategemea raisi awe tofauti na Samia? Suala la raisi mbadala wa Samia litazame kupitia ccm sio upinzani.Keyword: Mpaka Samia atakapotoka madarakani 2030. Hii imekaa kimkakati sana, ukiwa mbumbumbu unaweza kuhisi anazungumzia soka. Sidhani kama tuna haja ya kufanya uchaguzi mwaka huu, tumuache tu Mama aendelee kuwatumikia Watanzania.