Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,262
Haji Manara awaponda Viongozi wa Simba kumpa Urais wa Heshima Modewj, katika mazungumzo yake anadai kuwa, "Nchi Hii ina watu wa ajabu Kabisa, Wasomi wetu ni hovyo Sana, Hastahili hata Kuwa kiongozi wa Mtaa".
Toka zamani, Haji Manara anapenda sana mpira wa miguu ama ukipenda football. Kumbuka alizaliwa kwa familia ya wanamichezo. Babake kwa jina Sunday Manara aliiwezesha nchi yake kushinda tuzo 43.
Haji naye alifuata nyayo za Babake na alianza kupenda mpira akiwa bado mdogo. Babake Haji Manara ambaye ni Sunday Manara alikuwa anachezea nchi za nje kama vile Austria, Netherlands na USA.