Haji Manara na Musa Mgosi, Morogoro

Mjasiria Akili

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
823
Reaction score
372
Katika hali ya kushangaza wakati timu ya Simba ikitaabishwa na Mbeya City uwanja wa taifa hapo jana afisa habari wa timu hiyo Haji Manara na meneja wa timu Musa Mgosi walikua bize na karibu kabisa na timu ya Mtibwa hapa mjini Morogoro.

Juzi mwandishi mmoja wa blog alisema Manara kaonekana hoteli moja na baadhi ya viongozi wa Mtibwa huku Musa Mgosi akionekana na baadhi ya wachezaji wa Mtibwa timu akiokua akiicheza hapo nyuma.
Mnyetishaji wetu alipowauliza wachezaji wa Mtibwa kuhusu kuonekana na Mgosi mchezaji mmoja mwandamizi wa timu hiyo alionekana kumshangaa Mgosi kujipendekeza kwao na kujifanya anawapa hamasa kuelekea mechi yao na Yanga wakati haimhusu.

Aidha alipotafutwa mchezaji mwingine alikiri Mgosi kuwafuata na kuwapa salamu kutoka uongozi wa Simba eti wakiizuia Yanga kupata point 3 kuna mlungula utawafikia, makubwa haya!

Nae Haji Manara alipoulizwa kunani Morogoro huku Simba wakidondosha point kwa Mbeya City alishangaa na kumuuliza mnyetishaji amejuaje uwepo wake Morogoro wakati ni siri kati yake na viongozi "simbamtibwa" ili kupanga mkakati wa kuizuia Yanga.
 
Katika hali ya kushangaza wakati timu ya Simba ikitaabishwa na Mbeya City uwanja wa taifa hapo jana afisa habari wa timu hiyo Haji Manara na meneja wa timu Musa Mgosi walikua bize na karibu kabisa na timu ya Mtibwa hapa mjini Morogoro...........
Ww n mnafiki hafu hjui ata unachoandka jana mgosi alkua kwny bench la ufundi hyo mgosi aliekua morogr au n mgosi rappa
 
Uzoefu inaonyesha Simba walimaliza ligi siku walipoifunga Yanga.
Mechi zilizobaki kwao ni mwendo wa sare au kuambulia kipigo.
Tofauti ya Yanga na Simba ni long vs short planning! Yanga inaitazama ligi nzima. Simba wanazitazama mechi dhidi ya Yanga.
 
Uzi wa kimajungumajungu hovyo kabisa..Mtibwa funga yebo kinuke jangwa sua..
 
Mbona alikuwa uwanjani jana.Yanga mnatabia za ovyo sana.kwakuwa mnahonga mnadhani simba ni sizi yenu.
 
Kwan n vibaya kwrnda kuangalia mpira mbona hua tunaona ata ulaya
 
Wazaz wako wameshapokea mahari? Au dada unaenda kimya kimya? Hizi za kuolewa ndoa ya mkeka bado unazifagilia?



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…