MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Baada ya Shafii kuweka hii picha,nusu jezi ya Simba nusu Azam ,aisee Manara amefyatuka kama sijui nini.
Huku maneno mazito mazito yakifuata
Manara huwa anapenda sana kuwatania watu hasa Yanga lakini huwa yuko sensitive sana.
Huku maneno mazito mazito yakifuata