MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
😀😀😀 Najua ulitegemea Haji atoe yale maneno ya kina Konki Master, siyo?...Sijaona neno zito hapo
Naye Dauda hapo angejibu kupitia pigmentational dimension.😀😀😀 Najua ulitegemea Haji atoe yale maneno ya kina Konki Master, siyo?...
Hahaaha migambo inaruka na kukanyagana. Ila Haji mbona mambo ya tetesi za transfer ni kawaida tu kwenye soccer haswa kipindi kama hiki kuelekea dirisha dogo la usajili
Zito wa nini tena mkuuSijaona neno zito hapo
Sie wenye dola tunatuma wapi mhamala wetu ?Ngoja sisi Yanga tupitishe bakuli hapa jf
Changia yanga m-pesa:0753935973
Hata hilo "SITOKUACHA"?Sijaona neno zito hapo
Hahaha!! hilo hilo sijui kwanini hawalipendi hilo jina wakati mkuu wa nchi anahimiza matumizi ya lugha ya kiwahiliUnamaanisha zeru zeru?