hawa simba wanatumiga takwimu za mwaka sitini huko,ukiwagusa tu utackia wee cc mwka sabini cjui tulifanya nn................Nilikuwa namuangalia kupitia TBC 1 katika kipindi cha Mboni Show akihojiwa na muandaaji wa kipindi hiko Mboni, na ktk mengi aliyoongea na takwimu alizokuwa anazojifanya anazijua akaja akasema eti "Simba ndio club iliyo juu ya hiyo YANGA kwenye ranking za Africa inayojisifu ya kimataifa". Jambo lililonifanya niingie mtandaoni kuusaka ukweli na ndio nikakutana na hii ranking ya sasa kuwa YANGA IPO NAFASI YA 324, inayofuatia ni Azzam ya 344 na hiyo Simba yake ikishika nafasi ya 349. Africa Football / Soccer Clubs Ranking - FootballDatabase
Neno kujifariji lina maana pana sana tuwahurumie wenzetu wapo penye kipindi kigumu sana.hawa simba wanatumiga takwimu za mwaka sitini huko,ukiwagusa tu utackia wee cc mwka sabini cjui tulifanya nn................
Kipindi kigumu gani wakati sisi ndio mabingwa mabingwa msimu huu??Neno kujifariji lina maana pana sana tuwahurumie wenzetu wapo penye kipindi kigumu sana.
Kipindi kigumu gani wakati sisi ndio mabingwa mabingwa msimu huu??
Yaah!mkishinda game zenu zote nasi tukafungwa zote kisha muangalie rekodi mtakuta tulichezesha mchezaji mwenye njano 3 hapo tena ubingwa wenu njia nyeupe.Kipindi kigumu gani wakati sisi ndio mabingwa mabingwa msimu huu??
Ha haaaYaah!mkishinda game zenu zote nasi tukafungwa zote kisha muangalie rekodi mtakuta tulichezesha mchezaji mwenye njano 3 hapo tena ubingwa wenu njia nyeupe.
UmeuaYaah!mkishinda game zenu zote nasi tukafungwa zote kisha muangalie rekodi mtakuta tulichezesha mchezaji mwenye njano 3 hapo tena ubingwa wenu njia nyeupe.
Ndio walilobakiza hilo ubingwa wa mioyoni.Umeua
Ndicho walichobakiza kujifariji.Ha
Ha haaa
unaleta takwimu za blog haji manara anaogelea takwimu zilizopo CAF sio kwny blogNilikuwa namuangalia kupitia TBC 1 katika kipindi cha Mboni Show akihojiwa na muandaaji wa kipindi hiko Mboni, na ktk mengi aliyoongea na takwimu alizokuwa anazojifanya anazijua akaja akasema eti "Simba ndio club iliyo juu ya hiyo YANGA kwenye ranking za Africa inayojisifu ya kimataifa". Jambo lililonifanya niingie mtandaoni kuusaka ukweli na ndio nikakutana na hii ranking ya sasa kuwa YANGA IPO NAFASI YA 324, inayofuatia ni Azzam ya 344 na hiyo Simba yake ikishika nafasi ya 349. Africa Football / Soccer Clubs Ranking - FootballDatabase
hapo manara alichemka kwa maana walitanguli Kisha tukawapitaAmenifurahisha alipoendelea kutoa takwimu pale aliposema kwa Tz simba ndio club bora kiukweli tusifiche fiche mambo
kwanza ndio club ya kwanza kupanda ndege
Ndio club ya kwanza kuvaa jezi
Na ndio club ya kwanza kuvaa viatu.
Sisi tunaishi mjini uwanja wetu upo mjini wao ndio vyura wa matopeni.
Tofauti na wengine nazungumza facts situkani mtu..nimezaliwa kwenye mpira, nimecheza mpira, nimesomeshwa na mpira, ninaishi kwa mpira
Nakujua hujaropoka ila umeongea unachokielewa,sasa kabla sijakuita mropokaji lete wewe hizo data anazozizungumzia huyo Manara ambazo ni za mwaka huu ?? ( tena ufanye kama mimi nimekuwekea na link )unaleta takwimu za blog haji manara anaogelea takwimu zilizopo CAF sio kwny blog