Mlipeni fedha yake, Ayo ndio matokeo ya Tajiri na mkewe kuongoza timu. Yaani mke anaendesha timu Kama familia yakeMimi niliwaambja yanga hii haina uwezo wa kutoa ile faini ya M11 watu wakanibishia
Haya sasa manara ametumika kama backup, magodoro sio dili tena yashaingia kunguni
Na huku pia watafeli tena kwa aibu kubwa
Alikataa kusign mkataba ,hapo anapiga tu kelele anaropoka tu na kujichanganyaMlipeni fedha yake, Ayo ndio matokeo ya Tajiri na mkewe kuongoza timu. Yaani mke anaendesha timu Kama familia yake
Thread ipo humu kitambo tu!sijaiona kiongozi
Nami, baada ya mahojiano tu, nikataka kuanzisha thread kuhusu hili, kuchungulia chungulia, nikakuta mdau kishaanzisha. Ikanibidi nami nichangie ambacho wenzangu hawajakiandika kwenye thread hiyo!sijaiona kiongozi
"Angewalipa Azam milioni 300,000/=" 🤣 🤣700,000/= alizipokea kwa mkataba gani? Na alisema anafanya kazi kwa mapenzi na club, vipi leo adai mkataba!!! . Na aliisha wahi kusema kuwa yeye hana matatizo na Simba ila tu wagomvi wake ni Barbara na Mo na hasa pale alipotishia kutoa siri zao.
Mkataba wa 4,000,000/= aliktaa kusaini kutokana na maslahi yake mengine na kama angesaini mkataba huo angewalipa Azam million 300,000/=, sasa Simba anaishitaki kwa kitu gani? BIG TIME LOOSER.
Kweli huu MSUKULE WA UTOPOLO umechanganyikiwa.