Haji Manara nawapeleka Simba mahakamani kwa kunifanysha kazi bila mkataba

Haji kufukuzwa Simba imempa maumivu kwenye maisha yake yote kwasababu inaependa Simba ndani ya kina cha moyo wake.
Ni maumivu ambayo hataisahau ,alijawa kiburi ,wakati ule alipovujisha Ile clip kwamba anaonewa babra na mo alidhani atasimamisha wanamsimbazi wamtetee kumvuruga CEO mwisho wa siku akahama yeye ,Manara mpaka Sasa haamini kama yeye ni Yanga ni kama ndoto
 
Mafanikio ya Simba hasa club bingwa ndio yamempa umaarufu,leo hii angefanya mkutano Serena Hotel na kutoa kauli mbiu zake,sasa hayupo na utopolo atopolo ataongea nini ili awe kwenye chat
 
Uyo ng'ombe pori bado anaweweseka na simba
Nchi hii ukiona hata page za umbeya za Instagram na facebook wadau wanakucheka ujue ushadharaulika beyond repair, hii stunt yake ya sasa hivi hata wana utopolo wamemkaushia kimya ni kama wanamshangaa alitaka uongozi wa simba ujibishane naye kitu ambcho hawataki na kinamsumbua sana
Njia ya yeye kuishi mjini ni uchonganishi,majungu na makelele ikitokea watu wanamnyamazia kimya it means atakosa hela
 
Shida ni nafsi yake hainaga uvumilivu hata kaa aache kulalama,yupo Yanga kwa maslahi tu ila mapenzi yake bado yapo Simba.
 
Dalili kuwa keshaishiwa tayari!! Mkataba ulikuwepo. Kuna mkataba wa mdomo! Ungekutana na manara ukamwuliza unategemea kupata sh ngapi mwisho wa mwezi bila shaka angekjpa jibu!!! Alikuwa na mkataba wa mdomo wa dei waka!! Ila mwajiri anamtunzia kkla siku na kumpatia mwisho wa mwezi!! Manara alikuwa dei waka na aliridnika kuwa dei waka!! Dei waka hana hifadhi ya jamii!!
 
Hivi Mzee Sunday Manara anashindwa kweli kumsaidia mwanawe kufikiri sawa sawa maana kadri siku zinavyokwenda ndiyo anazidi kuwehuka. Bado kidogo tu atavua nguo na kuanza Kula majalalani.
 
Milioni 300,000/=? , (300,000,000,000/= ie 3000bn?)
 
Mafanikio ya Simba hasa club bingwa ndio yamempa umaarufu,leo hii angefanya mkutano Serena Hotel na kutoa kauli mbiu zake,sasa hayupo na utopolo atopolo ataongea nini ili awe kwenye chat
Simba ana mafanikio gani kwenye club bingwa?
 
Haji alijua yeye ni mkubwa kuliko simba. Kafa kifo chamende Chaliiiiiiii
 
Kibarua hapewi mkataba wala hawekewi fedha NSSF. Kwa lugha nyepesi, hayupo katika kumbukumbu za waliowahi kuwa waajiriwa wa Simba
Au alikuwa anajitolea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huu ni ujinga mkubwa,shabiki alipwe pesa?

Alipewa mkataba akaukataa,halafu leo aende mahakamani kwa kunyimwa mkataba upi?
Sheria ya kazi. Hapa wengi mnaongea kishabiki, ila kisheria hii ni ishu kubwa.
 
Huu ni ujinga mkubwa,shabiki alipwe pesa?

Alipewa mkataba akaukataa,halafu leo aende mahakamani kwa kunyimwa mkataba upi?
Shabiki wakati ushahidi upo wazi kote kwamba alikuwa msemaji wa simba! Unafikiri mahakama itaelewa kuwa alikataa mkataba?

Hapa Simba imalizane naye nje ya mahakama. Wakienda mahakamani Simba itapatwa na balaa.
 
Sheria ya kazi. Hapa wengi mnaongea kishabiki, ila kisheria hii ni ishu kubwa.
Mkuu sheria za kazi zinasema uwe ndani ya 30 days baada ya tatizo kutokea au ufanye application ya condonation na uwe na valid reasons za kufanya hiyo condonation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…