Hawa Mikia:Bodaboda/Mbumbumbu hawawezi kuelelwa kitu hata ukiwaambis timu ni ya kifamilia Mo/Mke/Azim/Barbara watakubishia wanasema mradi wanachukua Makombe siku wakikosa makombe ndipo akili zitafunguka na kuacha matusi
HAJIIII anaenda kupotea kwenye ramani yani ndo anapotea hivyoooo. Watu hufikiri kwamba nyota aliokua nayo wakayi yupo sehemu fulani ataendelea kuwa nayo akitoka sehemu hyo ni mara chache sanaa na ni kwa watu exceptional