Numero Uno
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 607
- 1,302
Haji manara vipi kuhusu goli la Joash Onyango dhidi ya gwambina?
Vili kuhusu folul ya nnje ya box aliyocheza Joash Onyango dhidi ya Tusila Kisinda na mwamuzi akasema ni penati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana ukiangalia goli la Yacuba lililokataliwa ni kama la OnyangoTukimsema watasema tuna mnyanyapaa
Mkuu mtoa UZI, ivi iyo picha ya kwanza Bw.Haji alikuwa ana maanisha nini ?View attachment 2018307
Haji manara vipi kuhusu goli la Joash Onyango dhidi ya gwambina?
View attachment 2018309
Vili kuhusu folul ya nnje ya box aliyocheza Joash Onyango dhidi ya Tusila Kisinda na mwamuzi akasema ni penati
Goli la yacuba lililokataliwa vs namungo last seasonMkuu mtoa UZI, ivi iyo picha ya kwanza Bw.Haji alikuwa ana maanisha nini ?
Ina maana yy hakuona jana kama namungo pia alinyimwa penati ?Goli la yacuba lililokataliwa vs namungo last season
Tatizo haji, post ya kwanza analalamika kuwa yanga alionewa kwa kunyimwa goli halali, kweli ni goli halali, mechi ya simba vs gwambina onyango alifunga goli halali pia kama hilo likakataliwa pia.Kwa hiyo tatizo ni Haji au marefa?
Tukimsema watasema tuna mnyanyapaa
Anapenda sana kutumia kivuli cha ualibinoTukimsema watasema tuna mnyanyapaa