Haji Manara ni mzima kweli?

Kwa hiyo tatizo ni Haji au marefa?
Tatizo haji, post ya kwanza analalamika kuwa yanga alionewa kwa kunyimwa goli halali, kweli ni goli halali, mechi ya simba vs gwambina onyango alifunga goli halali pia kama hilo likakataliwa pia.

Post ya pili analalamika simba walipewa penat ambayo sio halali kwani kagere alichezewa foul nje ya box, abasahau kuwa yanga walipewa penati kama hiyo hiyo onyangoa alipomchezea foul tuisila nje ya box
 
Hivi kuna umuhimu gani kwa hizi team kua na watu kama Haji Manara? hapa nimeweka jina la Haji kama cheo cha kazi aifanyayo na sio kwamba nimemtaja Haji kama yeye binafsi.
 
Wewe Haji wala hutushtui kabsaaaa kuna mwenye anakuamiani kweli?.Wewe endelea kutafuta ugali wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…