Haji Manara ni Propagandist kinara kwa sasa hapa Tanzania

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Huo ndiwo ukweli.

Haji anaweza kuunda jambo na likakua kwa kimo cha kutisha na kwalo hata kusababisha madhara makubwa na yenye kuleta sintofahamu ndani ya jamii.

Haji ndiye binadamu wa kwanza nchini kufanya kazi kwenye vilabu vikubwa vya kisiasa kwa maana ya Yanga na Simba na kote amekubalika!

Jamaa kajaliwa awe propagandist mzuri.
 
Ungeniambia ni Propagandist wa Upumbavu si tu ningeishia Kukukubalia kwa 100% bali pia ningekuona una Akili Kubwa.
 
Huo ndiwo ukweli.

Haji anaweza kuunda jambo na likakua kwa kimo cha kutisha na kwalo hata kusababisha madhara makubwa na yenye kuleta sintofahamu ndani ya jamii.

Haji ndiye binadamu wa kwanza nchini kufanya kazi kwenye vilabu vikubwa vya kisiasa kwa maana ya Yanga na Simba na kote amekubalika!

Jamaa kajaliwa awe propagandist mzuri.
Nadhani ingekuwa vizuri kama ungemtambulisha huyo Manara ni nani. Sio kila mtu wa huko kijijini kwenu na sisi tunamfahamu.
 
Yanga ndio mnatia kiburi huyo mtu. Simba wameshamdharau, tff wameshamtimua, ubarakala wake umebaki utopoloni tu. Msifuni hivyo hivyo mpaka mfungiwe kucheza ligi kisha mumchukie
 
Ni mpuuzi fulani anayependa kuwasengenya wenzie.Yeye akiguswa,analia na kusema mumuache ni mgonjwa/mlemavu!
 
Mimi nikadhani propaganda ni mambo yanayopangiliwa kwa ustadi mkubwa na kufanyiwa tafiti? Tofautisha propaganda na Domo bwakubwaku. Huyu ni mfitini na chawa anayeishi kwa uzushi. Usiuita huo ujinga ni propaganda. Zamani tulikuwa na Mrema na Dr.Slaa
 
Yanga ndio mnatia kiburi huyo mtu. Simba wameshamdharau, tff wameshamtimua, ubarakala wake umebaki utopoloni tu. Msifuni hivyo hivyo mpaka mfungiwe kucheza ligi kisha mumchukie
Utalisoma jitu zima limeandika,.... "Umesema wewe semaji la Dunia Bugatti, nibishie mie nani"?
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana

Back
Top Bottom