Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Ungeniambia ni Propagandist wa Upumbavu si tu ningeishia Kukukubalia kwa 100% bali pia ningekuona una Akili Kubwa.Huo ndiwo ukweli.
Haji anaweza kuunda jambo na likakua kwa kimo cha kutisha na kwalo hata kusababisha madhara makubwa na yenye kuleta sintofahamu ndani ya jamii.
Haji ndiye binadamu wa kwanza nchini kufanya kazi kwenye vilabu vikubwa vya kisiasa kwa maana ya Yanga na Simba na kote amekubalika!
Jamaa kajaliwa awe propagandist mzuri.
Nadhani ingekuwa vizuri kama ungemtambulisha huyo Manara ni nani. Sio kila mtu wa huko kijijini kwenu na sisi tunamfahamu.Huo ndiwo ukweli.
Haji anaweza kuunda jambo na likakua kwa kimo cha kutisha na kwalo hata kusababisha madhara makubwa na yenye kuleta sintofahamu ndani ya jamii.
Haji ndiye binadamu wa kwanza nchini kufanya kazi kwenye vilabu vikubwa vya kisiasa kwa maana ya Yanga na Simba na kote amekubalika!
Jamaa kajaliwa awe propagandist mzuri.
Haji ndiye binadamu wa kwanza nchini kufanya kazi kwenye vilabu vikubwa vya kisiasa kwa maana ya Yanga na Simba na kote amekubalika!
.
Utalisoma jitu zima limeandika,.... "Umesema wewe semaji la Dunia Bugatti, nibishie mie nani"?Yanga ndio mnatia kiburi huyo mtu. Simba wameshamdharau, tff wameshamtimua, ubarakala wake umebaki utopoloni tu. Msifuni hivyo hivyo mpaka mfungiwe kucheza ligi kisha mumchukie
Ni suala la muda tu. Atakuja kuigharimu timu pendwa.Utalisoma jitu zima limeandika,.... "Umesema wewe semaji la Dunia Bugatti, nibishie mie nani"?
Huo ndiwo ukweli.