Haji manara ni Spin Doctor Konki

Haji manara ni Spin Doctor Konki

Nchi ina ufala sana hii,utakuta huko nyuma wamemtumia manara kuzima mjadala wa nyongeza ya Mishahara na watanzania tulivyo hatuna akili tumehamisha mjadala na kupeleka kwenye mambo ya kipumbavu

Haji Manara hana Effect yeyote kwenye Mpira hasa kwenye results ya uwanjani
 
Wapuuzi wa Yanga ndiyo wanapaisha ishu ya huyu mtovu wa nidhamu eti suala lake lipelekwe kwa Rais wa nchi.
 
Back
Top Bottom