Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Una haraka gani? Subiri muda ukifika kila kitu kitawekwa wazi. Usajili unafanywa kwa siri si unajua kuna wale wenzetu Simba ikitaja mchezaji wao hukimbia na kutumia mapesa yao ya kifisadi kutuvurugia? Kumbuka swala la mahadhi, kaseke, busungu,twite nkAnatuchanganya tu huyu, timu bado haiko vizuri,asiwe msiri aseme usajili wa dirisha dogo ni dume au garasa
Acha unafiki ww ni wachezaji wangapi wana umri mkubwa??Isanga funasepost: 18534535 said:wachezaji hao hao kila kukicha utadhani wabunge wa chama kimoja..wakati vipaji vingi tuu amuzioni hizo Timu zinazoshinda Klabu Bingwa Afrika ni Damu changa tuu na si mazee..
Nani anaongoza ligiKile kipigo cha Africa Lyon na Prisons naona bado kinawasumbua sana hawa
Mambo KIZANI Kama Bunge la JMT ha ha haaaaUna haraka gani? Subiri muda ukifika kila kitu kitawekwa wazi. Usajili unafanywa kwa siri si unajua kuna wale wenzetu Simba ikitaja mchezaji wao hukimbia na kutumia mapesa yao ya kifisadi kutuvurugia? Kumbuka swala la mahadhi, kaseke, busungu,twite nk
Huwezi anika kila kitu mfano upo tu kwenye mazungumzo mchezaji hajasaini kuna kiherehere gani cha kutangaza?Mambo KIZANI Kama Bunge la JMT ha ha haaaa
TFF ndio wanaongoza ligiNani anaongoza ligi
Body ya ligiNani anaongoza ligi
Ya simba yanakuhusu nini, mbona mnatokwa na povu aiseeHapa inaonyesha ni jinsi gani viongozi wa simba walivyo gawanyika, wengine wanasajili wengine wanapinga..... unite we stand, divided we fall... sasa simba sijui wapo upande gani apo
Kamchukueni nyie....yaan yanga vyura kweli,hapo mnasubiri tusajiri vifaa halafu ninyi muanze kuzengea wachezaji wetuwamatopeni acheni kukariri kila siku okwi huyo huyo tu?mbona timu ya taifa ya uganda wamemtema na timu inafanya vizur.mchukuen yule fowad wa zimbabwe anaeuzwa milion 800.na mshahara wake ml42 kwa mwezi atawapen ubingwa.