Haji Manara, sipoi hata tone, otherwise waje kuniua

Asitutoe kwenye mstari. Hivi sasa habari ya mjini ni Goli la Pape Sakho.

Katangazwa na JJ Okocha na kupingezwa na Sadio Mane....

Hiyo Miamba ya Afrika inaijua Simba ni mnyama hatarishi....

Tuongee na Mayele ampe kazi ya kuchunga ng'ombe huyu mzungu pori
 
Kama GSM wanampenda huyu kunguru huu ndo muda wa kumtuliza. Anapoandika utopolo wake mitandaoni ndo anazidi kuharibu. Yan ni kama mtu amechanganyikiwa hivi. Aliharibu yeye, akaomba msamaha yeye, Kahukumiwa Analaumu na kulalamika yeye.
 
Acha bangi na urudi kweli kwa Allah sio unatuambia alhamdulillah wakati unakula ndumu... Jipumzishe kaa dukani kwa GSM angalia magodoro yanavyouzwa jioni nend msikitini kisha lala Allah atakusaidia Gongowazi wahed

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Icho kifungo alichopewa iambatane na kuminywa kengele zake kwa miaka yote iyo miwili ili akili zimrudi
 
Simba Manara mlifukuza wenyewe, kaenda yanga imeshinda kombe la ligi kuu na mengineyo mnanuna... Kuchukia mafanikio ya mtu ni aina ya Uchawi wa kuzaliwa nao.!
 
Simba Manara mlifukuza wenyewe, kaenda yanga imeshinda kombe la ligi kuu na mengineyo mnanuna... Kuchukia mafanikio ya mtu ni aina ya Uchawi wa kuzaliwa nao.!
Kwani Simba ndiyo walimtuma akatukane? Simba ndiyo wamemfundisha kuvuta bangi? Wacha abebe madhambi yake mwenyewe.
 
Nauliza Karia FC wanacheza lini na ndugu zake Somalia?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani Simba ndiyo walimtuma akatukane? Simba ndiyo wamemfundisha kuvuta bangi? Wacha abebe madhambi yake mwenyewe.
... tatizo nyie mashabiki wa simba baada ya ku-concern na mambo yenu mmekazania kumfatilia yeye na hiyo inaonesha hamkujipanga kumfukuza na mlikuwa bado mnamuhitaji mlitaka awalambe miguu nlakini litatimia lililosemwa Walitikisa kiberiti wakakuta kimejaa.
 
🚨 KUTOKA KWA BUGATI

Kupanga ni kuchagua. Wakati Yanga akichukua Treble this season kwa kushinda Ngao Ya Jamii, Azam federation na Ligi kuu, Makolo Treble zao ni

👉Mpole Cup

👉Sopu Cup

👉Sakho Cup Kiufupi chake Treble ya Manyonyo inaitwa MSOSA.

Nb :: Tabu ipo pale pale Makolo,,hadi mtueleze kale katwenty mmekaficha wapi MSOSA KAMA MSOSA TREBLE Byuti Byuti 🏆🏆🏆
 
Ni kweli hawezi kupoa hapa anapasha ili apate stimu akatukane tena
 
Huyu nguchiro mnampaisha tu hana lolote zaid ya kupiga kelele tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…