Mkalukungone mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 862 Reaction score 1,755 Nov 7, 2024 #1 Manara mwenye code za Ubingwa ametia neno sasa ================= Alhamdulillah ๐๐ป๐๐ป Humiliation ๐ญ๐ญ Huu ndio Mpira sasa na hii ndio maana ya Ligi kuu, Tukubali leo tumejaa kwenye mfumo na tuwape hongera Tabora United. Tumepoteza Points Sita mfululizo lakini hatujanyangโanywa bado Ubingwa wetu. Yes kuna Siku kila kitu hukataa ndani ya Uwanja hata mkiwa bora kiasi gani, Hiyo ndio football tunayoijua sisi, Muhimu turudi kujipanga na kujiuliza nini kinatusibu kwa sasa na pia kuacha kujiamini kupitiliza. Soma Pia: Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024
Manara mwenye code za Ubingwa ametia neno sasa ================= Alhamdulillah ๐๐ป๐๐ป Humiliation ๐ญ๐ญ Huu ndio Mpira sasa na hii ndio maana ya Ligi kuu, Tukubali leo tumejaa kwenye mfumo na tuwape hongera Tabora United. Tumepoteza Points Sita mfululizo lakini hatujanyangโanywa bado Ubingwa wetu. Yes kuna Siku kila kitu hukataa ndani ya Uwanja hata mkiwa bora kiasi gani, Hiyo ndio football tunayoijua sisi, Muhimu turudi kujipanga na kujiuliza nini kinatusibu kwa sasa na pia kuacha kujiamini kupitiliza. Soma Pia: Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024