Haji Manara: Unaumia uwanjani kuimbwa Wanasiasa, ulitaka aimbwe Shangazi yako?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Diwani wa Kata ya Kariakoo na Mtangazaji wa Wasafi Media ambaye pia ni Msemaji wa Timu za Taifa zote, Haji Sunday Manara amesema;

"Alafu kuimba wanasiasa kwa Afrika, huu ni utamaduni wetu!"

"Kama mtu analalamikia mpaka nyimbo... yaani hapo ndio utaona kwamba nchi ina matatizo makubwa. Yaani mtu analalamikia... analalamikia nyimbo kwa sababu katajwa Makonda au...?"

"Sasa Shiekh ulitaka aimbwe nani? Aimbwe Shangazi yako? Haiwezekani Shiekh, haiwezekani!"

Your browser is not able to display this video.
 
Wasafi tunaomba muwe mnafanyia hicho kipindi kwenye jua kali
 
Manara Haji ni fala bin farasi.Utamaduni?Hata kukeketa ni utamaduni lakini ni wa kupigwa vita.
 
Huu sio utamaduni wa Africa, ni utaratibu wa Tanzania chini ya CCM ya kuanzia mwaka 2015.
 
Muislamu awezi kuwa na akili hata siku moja...Huyo ni mmoja wapo wa genge la RAIA FEKI NCHINI...ambao agenda yao siku zote ni hujuma dhidi ya taifa kwa maslai yao.
 
Kauli kama hizi ndio zina sababisha wananchi wajawe na hasi wafanye yasio tarahiwa halaf baadae waje waseme walilipwa

Huyu jamaa so pathetic
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ€£πŸ™Œ
 
Ni kweli nchi ina matatizo makubwa hilo sikatai, maana tumempeleka hada waziri wa Tamisemi Prof. Shemdoe eti akashangilie timu ya vijana under 17, si hivyo wabunge kibao wameenda huko Morocco pasipo ruhusa ya ofisi ya Spika, na sio hivyo tu Wabunge kibao hawaingii Bungeni ila majina yao yapo na wanakula posho pasipo kufanya kazi. Usikute waliokuwa Moroco nao majina Bungeni yapo kawaida na Posho za vikao wamelipwa kawaida ili hali wako nje ya nchi. Naungana na Haji Manara kwamba tuna matatizo makubwa na hilo la nyimbo ni dogo sana.
 
Huyu naye falar tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…