Haji Manara: Unaumia uwanjani kuimbwa Wanasiasa, ulitaka aimbwe Shangazi yako?

Kwenye mambo msingi yanayohitaji majibu, huyu boya analeta uzaramo!!
 
Na watanzania walivyo wapuuzi bado wataendelea kufuatilia mpira wa bongo.

Mnatukanwa na bado mnaendelea na hao watu wanaowatukana.

Low IQ people.
 
Alipe wa simba awatukane yanga akafanikiwa,akapewa yanga awatukane simba alifanikiwa sasa kapewa timu zooote za taifa awatukane watanzania kwa ujumla wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…