Haji Manara usinyamaze, kuna dhuluma za wazi zimefanywa dhidi ya Simba

Timu yako mbovu huna timu ya ushindi umepewa penalti ya bure lakini umeshindwa kubebeka inamshauri manala alopoke subili na ubingwa ukose kabisa
Hawa Nokia FC hawajielewi Aisee
 
Ndo zenu hzo mkipigwa mmefanyiwa hujuma mngeyajua hayo c mngeingiza litimu lenu uwanjani na bado mzunguko wa pili mtanyooka tu
 
Mlimdhulumu Polisi Dar na Mbao mwaka msimu uliopita. Yamewakuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…