Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Manara: Umeonaje ila formula niliyokwambia, si unaiona imetiki, Instagram yote tunazungumziwa sisi tu.
Shafii: Daah! Ila kweli kabisa. Unajua ulivyoniambia tupige kiki kwa staili ile nilidhani watu wangeshtukia...ila daah! Wameingia wazima wazima kama mbuzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Manara: Mimi si ndiyo mzee wa kuwachachafya. Unajua wewe haupo karibu na wanamuziki, ila Platnumz, Konde wote wanatumia njia hii, mnaichangamsha Instagram, watu wanawazungumzia kumbe nyuma ya pazia mko poa tu[emoji3]
Shafii: Aisee nimeamini sasa hivi. Kwa hiyo mpango unaokuja tunausuka vipi ili watu watujadili kama kawaida yetu?
Manara: Ngoja tukishacheza mechi yetu nitakwambia. Ila nitajifanya naifufua ishu ya Utopolo, halafu wewe utaingilia kama kuwatetea, mashabiki wa Uto watanijia juu, halafu wa Simba watanitetea.
Shafii: Sasa na mimi nikijiwa juu na mashabiki wa Mnyama?
Manara: Wa Utopolo watakutetea.
Shafii: Poa..ila unavyonipiga kwa suala la jezi, hizi ng'ombe zitafikiri kweli niliomba dili la kutengeneza jezi.
Manara: Sasa si ndiyo promo yenyewe, Mondi ilisemekana kanunua private jet, kwani kanunua kweli?
Shafii: Dah! Aya bhana. Ila ongea na Edo asiingilie sana hii ishu.
Manara: Yule dogo kashaona hapa kuna kiki kubwa ndiyo maana naye anaiingilia. Yaani kupitia hii, followers utawapata na madili yatakuja. Wewe vumilia madongo yangu tu[emoji16]
NB: Maneno ya kupachikwa kiutani.
Source: Copy & Paste.