Haji Manara: Wenye Akili Yanga SC nzima ni Mzee Manara na Rais Mstaafu Kikwete

Haji Manara: Wenye Akili Yanga SC nzima ni Mzee Manara na Rais Mstaafu Kikwete

Haji ni mropokaji fuatilia video zake, alisema njaa mbaya
 
Hatuna baya nae,tunajua hizo zilikuwa harakati za kutafuta ugali,aliyotunga sisi anayarudisha kwenu nanyi msipanic kuweni tu wapole siku moja yataisha.

NI JUU YENU WANASIMBA KUTUMIA MANENO YA MANARA KAMA SILAHA NA SISI TUNAYAKUSANYA YA KWENU KUTOKA KWAKE,KWAHIYO KIUMANE TU.
 
Je, unakubaliana nae? Kwahiyo kwa Kuwataja hawa Watu Wawili kuwa ndiyo wenye Akili Yanga SC anamaanisha kuwa waliobaki Wote ni Mazuzu ( Majuha ) tupu tu au?
Watu inabidi wamuelewe Haji, yule dogo ana matatizo ya kiakili yanayotokana na hali yake. Upungufu wake wa akili ndiyo unamfanya abwabwaje kila kukicha ili apate audience, Simba na Yanga zilikuwepo hata kabla ya yeye na baba yake kuzaliwa eti leo hii anajifanya mtu wa maana when he's a nobody.

Anavyo ona watu wanamwachia kuongea utumbo anafikiri tu wajinga kumbe wenzake tulishamjuwa lengo lake. Anataka tumseme akatushitaki Ustawi wa Jamii kuwa tunamnyanyapaa zeruzeru ili tumlipe fidia ya mabilioni kisha apite kutamba tena mitandaoni.
 
Mkuu Sibonike Umeyapokea haya maneno kwa moyo mkunjufu?
No way. Manara tunamtumia kwa muda tu. Wakati ukifika atarudi kwenu. Tuna tahadhali naye. Mo aking'oka, kesho yake Manara anarudi Simba labda mkatae wenyewe
 
Ninapoana Yanga wanaishi na Manara Kwa furaha ,pamoja na kashfa zote Kwa Yanga ,nimeamini ukiwa masikini huna uamuzi ,
 
Hatuna baya nae,tunajua hizo zilikuwa harakati za kutafuta ugali,aliyotunga sisi anayarudisha kwenu nanyi msipanic kuweni tu wapole siku moja yataisha.

NI JUU YENU WANASIMBA KUTUMIA MANENO YA MANARA KAMA SILAHA NA SISI TUNAYAKUSANYA YA KWENU KUTOKA KWAKE,KWAHIYO KIUMANE TU.
Hata hii michezo ni silaha tosha 😂😂😂

994113D2-BE5F-4E9B-BA58-AB551AFCD333.jpeg
 
Je, unakubaliana nae? Kwahiyo kwa Kuwataja hawa Watu Wawili kuwa ndiyo wenye Akili Yanga SC anamaanisha kuwa waliobaki Wote ni Mazuzu ( Majuha ) tupu tu au?
Hilo mbona liko wazi mfano hai ni hapa jukwaani,angalia nyuzi na post za watopolo zote ziko kitaahira taahira tu.
 
Je, unakubaliana nae? Kwahiyo kwa Kuwataja hawa Watu Wawili kuwa ndiyo wenye Akili Yanga SC anamaanisha kuwa waliobaki Wote ni Mazuzu ( Majuha ) tupu tu au?
Efm wanakipenda kweli icho kionjo😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom