MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Watu inabidi wamuelewe Haji, yule dogo ana matatizo ya kiakili yanayotokana na hali yake. Upungufu wake wa akili ndiyo unamfanya abwabwaje kila kukicha ili apate audience, Simba na Yanga zilikuwepo hata kabla ya yeye na baba yake kuzaliwa eti leo hii anajifanya mtu wa maana when he's a nobody.Je, unakubaliana nae? Kwahiyo kwa Kuwataja hawa Watu Wawili kuwa ndiyo wenye Akili Yanga SC anamaanisha kuwa waliobaki Wote ni Mazuzu ( Majuha ) tupu tu au?
ila makolo yenyewe yapo mikia fcJe, unakubaliana nae? Kwahiyo kwa Kuwataja hawa Watu Wawili kuwa ndiyo wenye Akili Yanga SC anamaanisha kuwa waliobaki Wote ni Mazuzu ( Majuha ) tupu tu au?
Hata hii michezo ni silaha tosha πππHatuna baya nae,tunajua hizo zilikuwa harakati za kutafuta ugali,aliyotunga sisi anayarudisha kwenu nanyi msipanic kuweni tu wapole siku moja yataisha.
NI JUU YENU WANASIMBA KUTUMIA MANENO YA MANARA KAMA SILAHA NA SISI TUNAYAKUSANYA YA KWENU KUTOKA KWAKE,KWAHIYO KIUMANE TU.
Kwa hiki mnachokifanya huko hatumtaki kabisaNo way. Manara tunamtumia kwa muda tu. Wakati ukifika atarudi kwenu. Tuna tahadhali naye. Mo aking'oka, kesho yake Manara anarudi Simba labda mkatae wenyewe
Hilo mbona liko wazi mfano hai ni hapa jukwaani,angalia nyuzi na post za watopolo zote ziko kitaahira taahira tu.Je, unakubaliana nae? Kwahiyo kwa Kuwataja hawa Watu Wawili kuwa ndiyo wenye Akili Yanga SC anamaanisha kuwa waliobaki Wote ni Mazuzu ( Majuha ) tupu tu au?
Hatuna haja na hili tikitimaji,ngoja liwaozee wenyewe misukule ya GSMNo way. Manara tunamtumia kwa muda tu. Wakati ukifika atarudi kwenu. Tuna tahadhali naye. Mo aking'oka, kesho yake Manara anarudi Simba labda mkatae wenyewe
Wenu huyoHatuna haja na hili tikitimaji,ngoja liwaozee wenyewe misukule ya GSM
Efm wanakipenda kweli icho kionjoππππππJe, unakubaliana nae? Kwahiyo kwa Kuwataja hawa Watu Wawili kuwa ndiyo wenye Akili Yanga SC anamaanisha kuwa waliobaki Wote ni Mazuzu ( Majuha ) tupu tu au?