Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cyo lazima uanzishe topic unaweza changia tuu kwa wengine.Kocha mbishi kaweka Uyanga na Usimba .Shabalala yupo vizuri kuliko Haji.Matokeo yake kayapata leo.
Ila tumefungwa wote japo ushauri uzingatiwe
Kwa hiyo isingekuwa Hasji Mwinyi tungewachapa leoKocha mbishi kaweka Uyanga na Usimba .Shabalala yupo vizuri kuliko Haji.Matokeo yake kayapata leo.
Ila tumefungwa wote japo ushauri uzingatiwe
hii imeshazungumzwa sana sijui kwanini mkwasa halisikiiHaji Mwinyi alistahili kutoka kabla ya dk 15 za mchezo. Mkwasa naye hana kipya.