Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Unajua wanafanya nini hapo?Kaaz kweli kweli
Ushamaliza p?Hahahaaaa Haji kapanic...
Majini FC
Wanaita majini mbele ya logo ya kamariUnajua wanafanya nini hapo?
Ulitaka uwaone wananena kwa lugha ?Wanaita majini mbele ya logo ya kamari
Kaa kwa kutulia wewe Dada Jini Maimuna
Maana yako nn kwa picha hiiKaaz kweli kweli
Wakinena kwa lugha it means wana majini wanahitaji kusaidiwaUlitaka uwaone wananena kwa lugha ?
Kamari ni haramu kwenye uislamMaana yako nn kwa picha hii
Hawa wanaosali ndio wabeba majini? Ingawa ucha mungu wa mtu anaujua yeye na muumba wake but ntakuwa wa mwisho kuaminiKaaz kweli kweli
Majini Football Club