PostGE2025 Haji Omar Kheir - Mshauri wa Rais Ikulu, ana uhusika na mauaji Uchaguzi 2025?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Naona umeandika uwongo wako kwa herufi kubwa,kwa hiyo hao janjawid huko Zanzibar walikua wakiua makafiri?
Hapana, Janjawid walivyokuwa ZNZ hawakuwa wanaua makafiri, walikuwa wanaua wafuasi wa CUF, kuna isolated cases iliyohusisha mauaji ya mapadri wa kanisa katoliki. Sisemi walikuwa wanaua makafiri. Nazungumzia sasa huku bara, na jinsi ambavyo haiwapi shida kufanya wanayofanya kwa sababu ya imani.Samahani kwa kutumia herufi kubwa....Hii ndiyo trade mark yangu.
 
Sahihi kabisa hata mimi nimekuwa nikiliwaza hili kuwa wale jamaa kwa ule uuaji hawakuwa kabisa na ile guilty conscience
Meritocracy imekufa kwa Tanzania na kwa mtindo huo nchi lazima ife.
Yaani ni udini,kujuana na uchawa tu ndio vigezo vikuu vya kupata nafasi nyeti za zinazoamua ustawi wa taifa.

Lazima tuwe banana republic
 
Story yake inafanana kwa kiwango kikubwa sana na Adolf Ikman aliyekuwa mshauri wa Adolf Hitler. Darasani alifeli kila alipo rudia ,akaamua kuachana na shule akajiunga na chama cha hamasa cha NAZ. Ndiye aliyependekeza jinsi ya kukusanywa,kusafirishwa na kuuawa kwa wayahudi zaidi ya milioni 6 ndani ya Ujerumani
 
Story yake inafanana kwa kiwango kikubwa sana na Adolf Ikman aliyekuwa mshauri wa Adolf Hitler. Ndiye aliyependekeza jinsi ya kukusanywa,kusafirishwa na kuuawa kwa wayahudi zaidi ya milioni 6 ndani ya Ujerumani
🤔
 
Huo ni ukweli, wanaomjua wameshaeleza vya kutosha. Huyo ndiye mtu wetu mwingine.
 
Huyu mzanziber antumiwa na ccm na wahuni wenzao kuuuwa watanganyika JWTZ kama kuna wazalendo naomba huyu kiumbe awekwe kwenye target zenu ameuwa watanganyika maelfu kwa maelfu walio kamatwa kwenye maandamano huyo muuwaji yeye alikua anapiga risasi za vichwa na ameuwa askari walio kuwa wakimzuia kuwauwa

 
Nimekuja hapa baada ya kutoka kule tiktok kusikia story za huyu jamaa. Dah watu ni makatili nyie!!
 
Mwaka 2023, Haji Omar aliteuliwa na Rais Samia kuwa ni mshauri wa Rais.🥺🥺🥺
 
Mkiwa na viongozi vilaza ndiyo hatari yake. Hawana uwezo wa kufikiri. Inakuwa balaa zaidi wanapokuwa remote. controlled na BoysIIBoys toka Msonga ambaye naye ni hamnazo
 
Yeye mwenyewe ameua watu wapatao 273, akiwemo polisi mmoja. Tuna ushahidi.
 
Hizi habari zipo katika public domain, unless upoint out unahitaji uthibitisho wa kipi. Mimi naongelea mtu niliyekuwa nae. Yeye amashapata taarifa ya makala hii. Nataka yeye au watu wake waje wakanushe chochote kati ya hivi.
Short & clear, umefanya vyema sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…