T The Infamous JF-Expert Member Joined May 11, 2009 Posts 731 Reaction score 121 Jul 18, 2012 #41 kutembea nje ya ndoa au kuzini kwa lugha fasaha sio issue, ila issue mpaka kubeba na mimba!...it needs courage to move on
kutembea nje ya ndoa au kuzini kwa lugha fasaha sio issue, ila issue mpaka kubeba na mimba!...it needs courage to move on
mdida JF-Expert Member Joined Jul 14, 2011 Posts 1,607 Reaction score 775 Jul 18, 2012 #42 hongera sana kaka Haji kwa maamuzi magumu uliyoyafanya, wanaume wenzako watajifunza sio wao kila uchao wanazaa nje afu wanaleta watoto, na sie tutaanza kutoa talaka nadhani wanaume wengi watapewa talaka.
hongera sana kaka Haji kwa maamuzi magumu uliyoyafanya, wanaume wenzako watajifunza sio wao kila uchao wanazaa nje afu wanaleta watoto, na sie tutaanza kutoa talaka nadhani wanaume wengi watapewa talaka.