marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
Kwenye Mpira wa miguu ni ushabiki pekee ndio sio ajira na fulsa
Kuwa shabiki wa Clabu fulani hakuangalii Maslahi wala fulsa yoyote
Wengi tunashabikia vilabu vya mpira bila sababu yoyote tena wakati mwingine wala hatupati furaha ila ndio tumesha penda.
Ukimkuta shabikia ana hama timu ni wa kumshangaa sana ,tena pengine akawa sio shabiki ni mzugaji.
Hii iko tofauti sana kwenye nyadhifa nyingine kwenye mpira kuazia wachezaji ,ma raisi Ma CEO wasemaji hadi wafagiaji wote ni wafanyakazi na sio mashabiki
Kua shabiki wa timu na kuifanyia kazi ni mambo mawili tofauti..
Kwenye kazi hua hatufati moyo hisia na mahaba huku kinaangaliwa kitu kimaitwa MASLAHI ..
Ndio maana Robin Van Persie aliwaacha kwenye mataa Arsenal baada ya kuwekewa mzigo wa kueleweka Manchester
Luis Figo aliwaacha Barcelona na kwenda Real Madrid kiasi cha kuwachefua sana mashabiki wa Barca hadi kumtupia kichwa cha ngurue na kumuita msaliti ...
Mwisho wa siku mchezaji ni mfanya kazi hivyo kwake maslahi ni muhimu kuliko mahaba
Weka mahaba pembeni fanya kazi...
Kutoka Simba kwenda Yanga au kinyume chake ni jambo la kawaida sana kwa Muajiriwa
na hapo ndio unaweza kuthibitisha uweredi , Kwa sababu waafrica walio wengi kuweka hisia zao na mahaba yao kando na kufanya kazi ni ngumu na ni nadra ndio maana lawama kwa marefa haziishi.
Mimi ni simba ila ukiwekwa mzigo wa Kueleweka Na Yanga niwe naandika kuiponda simba mara 10 kwa siku nita fanya hivyo huku natabasabu
Vuta picha kipi kitakupa furaha zaidi kati ya account yako ya bank Kua na milioni 10 inapumua ua Kumfunga mtani goli 10-0 ? Jibu unalo!
Kila mtu na shida zake na kila kiumbe na njaa yake !.
Mbwa mpumbavu pekee ndio anaweza kubwekea ndege ....
Mwisho wa siku ndege mwenye kelele hawezi kua na mafuta.