joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
View attachment 932188MZEE WA VIKUKU KATOA HILI OMBI UNADHANI HAJUI KOSA LAKE?
Hujajibu swali. Tatizo la BASATA ni double standard.Mbona Iokote haijafungiwa? au hayo humo ndani sio matusi?
Hujajibu swali. Tatizo la BASATA ni double standard.
View attachment 932199HAPO VIPI?
Hapo napo vipi.Hujajibu swali. Tatizo la BASATA ni double standard.
t: RAYVANNY Feat DIAMOND PLATNUMZ - Mwanza Lyrics | Afrika Lyrics (Music Lyrics & Translations)hawajasikiliza wanapenda tu ushabiki kama wa simba na yanga,na wcb wajanja hii mara ya pili wakipata tatizo na serikali wanaisingiizia clouds wapate huruma,namshauri diamond aangalie nyimbo zake za nyuma,you can make good music bila ku corrupt minds za watoto
Kwahyo clouds wanashirikiana na basata au wamewaambia waimbe matusi,,?? Mi naona hapa clouds mnamsingizia hahusiki Hata kunawa mkonoHata kama!
Nyimbo nyingi za kibongo za sasa zinaimbwa matusi tupu na si Diamond tu,na zinaachwa tu.
Nahisi ni juhudi za wazee wa mawingu media kutaka kuwashusha WCB