Hajjaj Bin Yusuph(The Natorious Blood Shedder): Kiongozi aliyeletwa kama adhabu kwa waislamu.

Zambotti

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2016
Posts
1,973
Reaction score
3,643
Aliteuliwa na Ibn Malik kuwa Mtawala mwaka 694H kutoka ktka familia ya Ban Umayda.

Huyu alikuwa ni mtawala wa eneo la Iraq na Iran hususani katika miji ya Kuffah, Sham na Basra. Maajabu ya huyu mjamaa yalianza pindi anazaliwa, alikataa kunyonya maziwa ya mama ake. Kinyume chake akawa ananywishwa damu za wanyama kwa siku 4 then ndo akawa ananyonya maziwa kama kawaida.

Huyu ndiye kiongozi muovu kuwahi kutokea katika uislamu, huyu jamaa alikuwa ni adui wa uislamu na wasiokuwa waislamu. Katika utawala wake aliuwa sana wanazuoni wa kiislam walioenda kinyume na matakwa yake. Alimuua Saeed-bin-Jubair na Abdallah Ibn Ally Zubeid ambae ni Tabien(watu waliosoma kwa maswahaba)

Jela yake ilikuwa ina kuta nne tu bila kuwa na paa ili wafungwa ambao wengi ni wanazuoni waungue na jua na kunyeshewa mvua.

Alikuwa akienda msikitin kuswalisha anaweza piga hata rakaa sita kwa swala ya rakaa tatu. Alafu akigeukia waumini anawauliza vipi niwaongeze?

Mtu huyu ndiye anayesadikika katika utawala wake kuwaua waislamu wenyewe waliomuweka madarakani kuliko kiongozi mwengine kama ilivyorekodiwa kwenye Thaalib: 142, yapata waislamu 100,000 aliua kwa mkono wake.

Mpka anakufa aliacha maelfu ya raia wake wakiwa wako na hali mbaya kimaisha kutokana na ubadhilifu wa pesa. Watu walikuwa uchi walikosa hata matambala ya kustiri utupu kwa hali mbaya kimaisha waliyokuwa nayo.

Hajjaj alifariki June, 1 mwaka 714 AD huko Wassit, Iraq. Wakati wa kukaribia kufa kwake alitisha mkutano mkuu(Press) na hiyo siku alilia sana kuomba wananchi wake wamsamehe kwa vitendo viovu alivyowafanyia na kutubu mbele za mungu. Badala ya hapo hakukaa muda mrefu madarakani, akafa.

Naileta kwenu wananchi wa nchi ya kusadikika muwe wapole mungu ana njia mbalimbali za kuwadhibu watu wake kwa makosa waliyomfanyia. Huyu bwana stone huenda akawa ni sehemu ya adhabu yetu. Tumrudie mungu tumtake msamaha.
images%20(6).jpeg
images%20(7).jpeg
hqdefault.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi stone anajua kuwa anachukiwa kiasi gani?
Ila watu wanapoenda kinyume na maamrisho ya MOLA MLEZI ,naye huwapa kiongozi DHWAALIM
 
Asante kwa kifungua kinywa Mkuu, inafikirisha sana.

Uzuri ni kwamba tulitoka mavumbini na huko hakika tutarudi bila kujali tulikua nani enzi zetu chini ya jua.
 
Haijalishi wewe unamchukia kiasi gani. Kama imewekwa kuwa ni adhabu toka kwa mola mlezi huna budi kutakasa nafsi yake. Maana yeye ndio mrekebishaji wa makubwa na madogo
Hivi stone anajua kuwa anachukiwa kiasi gani?
Ila watu wanapoenda kinyume na maamrisho ya MOLA MLEZI ,naye huwapa kiongozi DHWAALIM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haijalishi wewe unamchukia kiasi gani. Kama imewekwa kuwa ni adhabu toka kwa mola mlezi huna budi kutakasa nafsi yake. Maana yeye ndio mrekebishaji wa makubwa na madogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Akhy kuna makosa katika uandishi hakuna awezae kuitakasa nafsi ya mwingine,hata yako huwezi
 
Aliteuliwa na Ibn Malik kuwa Mtawala mwaka 694H kutoka ktka familia ya Ban Umayda.

Huyu alikuwa ni mtawala wa eneo la Iraq na Iran hususani katika miji ya Kuffah, Sham na Basra. Maajabu ya huyu mjamaa yalianza pindi anazaliwa, alikataa kunyonya maziwa ya mama ake. Kinyume chake akawa ananywishwa damu za wanyama kwa siku 4 then ndo akawa ananyonya maziwa kama kawaida.

Huyu ndiye kiongozi muovu kuwahi kutokea katika uislamu, huyu jamaa alikuwa ni adui wa uislamu na wasiokuwa waislamu. Katika utawala wake aliuwa sana wanazuoni wa kiislam walioenda kinyume na matakwa yake. Alimuua Saeed-bin-Jubair na Abdallah Ibn Ally Zubeid ambae ni Tabien(watu waliosoma kwa maswahaba)

Jela yake ilikuwa ina kuta nne tu bila kuwa na paa ili wafungwa ambao wengi ni wanazuoni waungue na jua na kunyeshewa mvua.

Alikuwa akienda msikitin kuswalisha anaweza piga hata rakaa sita kwa swala ya rakaa tatu. Alafu akigeukia waumini anawauliza vipi niwaongeze?

Mtu huyu ndiye anayesadikika katika utawala wake kuwaua waislamu wenyewe waliomuweka madarakani kuliko kiongozi mwengine kama ilivyorekodiwa kwenye Thaalib: 142, yapata waislamu 100,000 aliua kwa mkono wake.

Mpka anakufa aliacha maelfu ya raia wake wakiwa wako na hali mbaya kimaisha kutokana na ubadhilifu wa pesa. Watu walikuwa uchi walikosa hata matambala ya kustiri utupu kwa hali mbaya kimaisha waliyokuwa nayo.

Hajjaj alifariki June, 1 mwaka 714 AD huko Wassit, Iraq. Wakati wa kukaribia kufa kwake alitisha mkutano mkuu(Press) na hiyo siku alilia sana kuomba wananchi wake wamsamehe kwa vitendo viovu alivyowafanyia na kutubu mbele za mungu. Badala ya hapo hakukaa muda mrefu madarakani, akafa.

Naileta kwenu wananchi wa nchi ya kusadikika muwe wapole mungu ana njia mbalimbali za kuwadhibu watu wake kwa makosa waliyomfanyia. Huyu bwana stone huenda akawa ni sehemu ya adhabu yetu. Tumrudie mungu tumtake msamaha. View attachment 1014658View attachment 1014659View attachment 1014660

Sent using Jamii Forums mobile app
hawezi kumfikia mud
 
Ndipo uwezo wa kufikiri ulipokomea!!!
ni maoni yng,........................ ........................................................................................................................................ teh teh teh !!!usiugue bure,relax
 
Maoni yanaanzia mbali mkuu...
 
Back
Top Bottom