mpenzi wangu hajui kuhesabu siku zake za kwenda mwezini na ana umri wa miaka 24 hajui siku zake za hatari yani kushika ujauzito kila siku nampa somo lakini aelewi nifanjaje ndugu zangu
Aende marekani,china au urusi, hawa watamhesabia hadi siku ya kutua mwezini na kurudi duniani,hawa jamaa ni hatari kwa mahesabu eti!!!!!!!!!!!!!mpenzi wangu hajui kuhesabu siku zake za kwenda mwezini na ana umri wa miaka 24 hajui siku zake za hatari yani kushika ujauzito kila siku nampa somo lakini aelewi nifanjaje ndugu zangu
mpenzi wangu hajui kuhesabu siku zake za kwenda mwezini na ana umri wa miaka 24 hajui siku zake za hatari yani kushika ujauzito kila siku nampa somo lakini aelewi nifanjaje ndugu zangu
mpenzi wangu hajui kuhesabu siku zake za kwenda mwezini na ana umri wa miaka 24 hajui siku zake za hatari yani kushika ujauzito kila siku nampa somo lakini aelewi nifanjaje ndugu zangu
mpenzi wangu hajui kuhesabu siku zake za kwenda mwezini na ana umri wa miaka 24 hajui siku zake za hatari yani kushika ujauzito kila siku nampa somo lakini aelewi nifanjaje ndugu zangu
Mnunulie simu afu msetie alarm.
usijali kama yuko pekee we hesabu tu kwani hakuna ubaya, mbaya ni pale unapokuwa na wengi kwani uutakuwa ukihesabu siku za huyu unazipeleka kwa yule na za huyu unaleta huko! Ingekuwa mie, nafanya makusudi sizikariri ili nawe upate assignment kwani haina haja ya kuuliza uliza nami nakuwa na majukumu mengi kibao ya kuintergrate na kukokotoa hesabu kubwa kubwa za namna mitambo inafanya kazi sina taimu ya kuhesabu hayo! Kama vip ikishindikana, tuijaze dunia tu