fundichupi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 382
- 232
Naomba kufundishwa namna ya kuhesabu siku ktk mzunguko wa mwanamke.. nijue siku salama na siku hatari
ili kuweza panga uzazi wa mpango na kuepuka mimba za surprise.
#msinambie ni-google mana nmefanya hivo naona chenga tuu hamna nilichoelewa na vi-apps ndio zengwe kabisa
Hizo siku za wanawake unataka kuzihesabu ili upate Degree ya Mathematics ama?