Haka Kaeneo Nimekapenda!!

Haka Kaeneo Nimekapenda!!

Mfurukwinyu

New Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
1
Reaction score
0
Tafadhalini wana JF,naomba mnikaribishe kwa mikono miwili. Nimekapenda sana haka kaeneo ambako naweza kupigia chafya na kukohoa kidogo. Yote ni katika kusukuma gurudumu letu la maendeleo.
Nikaribisheni tafadhali...
 
Karibu sana jamvini. Uwe na tahadhari na hizo chafya, sio kila mahala waweza piga chafya na kujamba.
 
Back
Top Bottom