M Mfurukwinyu New Member Joined Nov 1, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Nov 1, 2012 #1 Tafadhalini wana JF,naomba mnikaribishe kwa mikono miwili. Nimekapenda sana haka kaeneo ambako naweza kupigia chafya na kukohoa kidogo. Yote ni katika kusukuma gurudumu letu la maendeleo. Nikaribisheni tafadhali...
Tafadhalini wana JF,naomba mnikaribishe kwa mikono miwili. Nimekapenda sana haka kaeneo ambako naweza kupigia chafya na kukohoa kidogo. Yote ni katika kusukuma gurudumu letu la maendeleo. Nikaribisheni tafadhali...
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 8,659 Reaction score 2,227 Nov 1, 2012 #2 Karibu sana jamvini. Uwe na tahadhari na hizo chafya, sio kila mahala waweza piga chafya na kujamba.
Fisherscom JF-Expert Member Joined Mar 13, 2008 Posts 1,763 Reaction score 766 Nov 1, 2012 #3 Karibu sana humu ndani.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Nov 4, 2012 #4 JF yakukaribisha sana
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Nov 5, 2012 #5 Karibu mgeni jamvini.
M mama mjasiriamali Member Joined Nov 5, 2012 Posts 6 Reaction score 0 Nov 5, 2012 #6 Kweli jamii forum inafaa kwa watu wote maana kuna mafunzo mazuri. Nikaribisheni nami ninufaike.
K kisilo Senior Member Joined Oct 19, 2012 Posts 121 Reaction score 30 Nov 5, 2012 #7 Waooooooooooooooooooooooooo.karibu kiti.
M mama mjasiriamali Member Joined Nov 5, 2012 Posts 6 Reaction score 0 Nov 5, 2012 #8 Asante. Nategemea nitajifunza mengi na hali yangu itabadilika kiuchumi.
Nicole JF-Expert Member Joined Sep 7, 2012 Posts 4,274 Reaction score 2,519 Nov 5, 2012 #9 Karibu jamvini,unatumia kinywaji gani? mama mjasiriamali said: Asante. Nategemea nitajifunza mengi na hali yangu itabadilika kiuchumi. Click to expand...
Karibu jamvini,unatumia kinywaji gani? mama mjasiriamali said: Asante. Nategemea nitajifunza mengi na hali yangu itabadilika kiuchumi. Click to expand...
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 37,957 Reaction score 26,414 Nov 5, 2012 #10 Wakaribishwa...
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Nov 5, 2012 #12 Usipakojoleee tu
Ritz JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 51,303 Reaction score 40,190 Nov 6, 2012 #13 Karibt sana.