Haka kamjengo kanaweza kugharimu shilingi Ngapi?

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Samahani wakuu, kwa wale wenye uzoefu na mambo ya ujenzi, je? Haka kamjengo kanaweza kugharimu sh. Ngapi hadi kanaisha?
IMG-20180920-WA0095.jpg
IMG-20180920-WA0094.jpg
 
Kulingana na eneo ulilopo nadhani haizidi 2.5 million.
 
Hapo ni chumba na sebule, max ni tofali 1000 kuanzia msingi hadi juu, bati sita kila upande jumla 12, milango miwili, madirisha mawili, mbao 4×2 sita na 2×2 nane, mchanga Lori na kokoto nusu lori, cement mifuko 20, vitasa viwili, komeo mbili za ndani, misumari ya bati kilo2 na ya 4" kilo2, bawaba za milango 6, mafuta gharama yà kila kimoja hapo jumlisha usisahau hela ya fundi sijui vinasimamia ngapi vitu hivyo
 
Duuh
 
Tofali hapo ni 150-200 , mchanga lori 1 la tani 7, Cement mifuko 10, Bati 15-20 , mbao Laki 2 , misumari 15 000/- , milango na madirishana 120,000/- na ufundi 100,000/- . Ukijumlisha utajua ni Shs ngapi
 
Back
Top Bottom