donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Kigambo mkuudaah hii wapi mkuu
Naomba mchanganuo mkuu4.5 Million
Police post hiyo unataka kuweka mfugo gani?kadirisha kadogo kwa mfugo km kuku hakitawafaa.Samahani wakuu, kwa wale wenye uzoefu na mambo ya ujenzi, je? Haka kamjengo kanaweza kugharimu sh. Ngapi hadi kanaisha?
View attachment 872767View attachment 872768
Lake 8Samahani wakuu, kwa wale wenye uzoefu na mambo ya ujenzi, je? Haka kamjengo kanaweza kugharimu sh. Ngapi hadi kanaisha?
View attachment 872767View attachment 872768
Exactly4.5 Million
DuuhHapo ni chumba na sebule, max ni tofali 1000 kuanzia msingi hadi juu, bati sita kila upande jumla 12, milango miwili, madirisha mawili, mbao 4×2 sita na 2×2 nane, mchanga Lori na kokoto nusu lori, cement mifuko 20, vitasa viwili, komeo mbili za ndani, misumari ya bati kilo2 na ya 4" kilo2, bawaba za milango 6, mafuta gharama yà kila kimoja hapo jumlisha usisahau hela ya fundi sijui vinasimamia ngapi vitu hivyo
vp mkuuDuuh
Duh, hayo matereal yanatokea Comoro ama?4.5 Million
Milioni 4 ni nyingi sana mkuu kwa hako kajumba4.5 Million