Tehe tehe inanikumbusha wakati niko darasa la pili miaka ya 80 mwanzoni pale Sumbawanga, mvua ilikuwa ikinyesha mwalimu wetu wa Mwandiko alipenda sana kutuambia tuunganishe madawati, yaani rows zote tatu tunaziunganisha tunakuwa tumekaa km kwenye fremu moja mithili ya yale ma benchi marefu ya kanisani. Niliipenda sana style hiyo sababu upande wa kulia kwangu walikuwa wanakaa wasicha watupu watatu, nawakumbuka wawili, mmoja alikuwa akiitwa LILIAN, Mwingine MONICA, acha bana walikuwa watoto wazuri ajabu (tehetehetehe). ile tukiunganisha madawati tu wananiweka katikati yao, basi kale kajoto na kule kunifinya finya mara wanitekenye daaaaaaaaaaaaah niliipenda sana ile style. walikuwa marafiki zangu wakubwa sana tukitaniana sana, lkn wao hawakujua kwamba nilikuwa nawahusudu mbaya!! ingawa nilikuwa na oly 8 yrs hahahahahah mpaka leo nawakumbuka. Huyu Monica alikuwa mweupe kama papai ana meno meupeeee, dimpo za kufa mtu na nywele ndefu akisuka only twende kilioni wakati ule kulikuwa hakuna kulemba. Huyu LILIAN alikuwa ana weusi wa NYOKA, ana ng'aa balaa halafu alikuwa ana kaalama shavuni hivi ka duara. Nilipenda kuwaita wachumba zangu lkn bahati mbaya tulikuwa bado watoto wadogo sana. Baadaye darasa la tatu nilihama mkoa. Kila mvua inyeshapo na kiubaridi kama hiki sichelei kuwakumbuka hawa friends wangu!!!!

mkuu kuna zile raba mtoni unacheza nazo kwenye mvua sasa ukikaribia homu ndio soo maana masoksi na viatu vimeloa chapachapa na ule mlio wake ule, na kesho lazma uvivae tena, si harufu hiyo-kiatu imeisha soli hadi kutoboka, then unatakiwa kwenda mahali kwa mguu!...complete mess!
-then ukifika sehemu unatakiwa uvue kiatu ndo uingie ndani (kwa watu!:angry🙂...utatamani iwe mwisho wa dunia!
Safi sana dah unakumbukumbu nzuri sana at only 8 thats good.